Wangusi akanusha kuwa CAK inapania kudukua simu za Wakenya


Mamlaka ya mawasiliano nchini hii leo imekanusha madai kuwa inapania kuanza kuchunguza mawasiliano ya wakenya kwa kudadisi simu zao. Francis Wangusi ambaye ndiye mkurugenzi mkuu wa mamlaka hiyo, anasema kuwa mfumo mpya wanaoubuni unalenga kukabiliana na simu ghushi sawa na kukomesha mawasiliano yanayofanyika kinyume cha sheria. Wakati uo huo kampuni ya huduma za mawasiliano ya Safaricom imepinga vikali hatua ya mamlaka hiyo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: MPs threaten to slash NYS budget

Story By Patrick Igunza
More by this author