Wanjiru Denge azikwa nyumbani kwake Saku kaunti ya Marsabit


Mazishi ya marehemu Cathrine Wanjiru Denge ambaye ni mkewe kanali Paul Denge yalifanyika nyumbani kwake eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit. Kabla ya kifo chake, Catherine Wanjiru Denge aliugua kwa muda wa wiki moja, lakini akaaga dunia alipokuwa akipokea matibabu hospitalini. Kanali Paul Denge amekuwa rubani wa kampuni ya Royal Media services kwa miaka sita sasa na kifo cha mkewe ni pigo kubwa kwa familia yake.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Kadzo Gunga
More by this author