Wapiga mbizi wazidi kutafuta wahanga wa ajali ya ndege ziwani Nakuru

Matumaini ya kupata miili ya waathiriwa watatu wa ajali ya helikopta iliyoanguka katika ziwa la Nakuru wiki mbili zilizopota yalifufuliwa hii leo baada ya nguo na stakabadhi za mwathiriwa mmoja kupatikana. Haya yanajiri huku mazishi ya waathiriwa wawili ambao miili yao ilipatikana yakifanyika huko Bondo na Baringo.

Tags:

Lake nakuru chopper crash APOLLO MALOWA

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories