Waraibu Ni Wengi Nchini

Waziri wa masuala ya ndani Joseph Nkaiserry ametoa changamoto kwa mahakama kutekeleza zilizobuniwa kupambana na uraibu wa madawa ya kulevya. Nkaiserry mashirika ya ndege yanayosafirisha walanguzi wa madawa ya kulevya humu nchini kuchukuliwa hatua, huku mali ya walanguzi wa madawa ya kulevya kunyakuliwa ili kugharamia vituo vya urekebishaji wa tabia. Kufikia sasa watu 2.6 wana uraibu wa kutumia madawa ya kulevya.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories