Wasafiri watatizika katika uwanja wa ndege wa JKIA

Usimamizi wa shirika la ndege la Kenya Airways ukiongozwa na afisa Mkuu Mbuvi Ngunze, hivi sasa unafanya mkutano na wahandisi wa kampuni hiyo katika jitihada za kusimamisha mgomo wa wafanyikzai hao ulioanza mapema leo asuhubuhi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories