Washukiwa 12 wa ulanguzi wa mihadarati wanaswa Mombasa

Washukiwa kumi na wawili wa ulanguzi wa dawa za kulevya wametiwa nguvuni mombasa.

kati ya washukiwa hao, nane ni wageni wa mataifa mengine. anne mawathe na taarifa zaidi.

Tags:

Mombasa Aklasha brothers walanguzi wa mihadarati

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories