Washukiwa 6 watoroka korokoroni Garissa

Polisi wameanzisha operesheni ya kuwasaka washukiwa 6 waliotoroka kutoka katika korokoro ya kituo cha polisi cha Garissa. Washukiwa hao 6 wanaosemekana ni majambazi walitoroka baada ya kuparamia ukuta usiku wa kuamkia leo.

 

Hassan Farah anayo ripoti kamili

Tags:

garissa

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories