Wasichana 7 wanusurika ukeketaji Embu


 

Wanafunzi saba kutoka eneo la Mbeere kaunti ya Embu wameokolewa baada ya kunusurika kupashwa tohara wakiwa mafichoni. Ajuza mmoja aliyekuwa akitekeleza unyama huo alifanikiwa kuwakeketa wasichana watatu kabla kufumaniwa.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Saida Swaleh
More by this author