Wasichana wanene wakutana kutiana moyo

Kwa miaka na mikaka swala la mtu kuwa mnene limekuwa likiibua mseto wa hisia miongoni mwa jamii. Wataalamu wa Afya wakionya dhidi ya watu kunenepa kupita kiasi kwani hali hii huenda ikaathiri afya zao.
Mwana habari wetu Andrine Kilemi alipata fursa ya kuzungumza na baadhi ya wasichana wanaoishi na hali hii na jinsi wanavyokabiliana na unyanyapaa katika mitandao ya kijamii na hata katika maisha ya kila siku.

Tags:

Fat shaming

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories