JSC yamteua Jaji David Maraga kuwa jaji mkuu


Anajitaja kama mtu mwenye imani dhabiti tena mpole. Lakini jaji david maraga kenani ni mwenye kutajika kwenye mishorobo ya mahakama kutokana na uzoefu wake katika masuala ya sheria kiasi cha maamuzi yake kutumiwa kama msingi aktika kesi zisizopungua sabini na kadhalika kuundwa kwa sheria kuhusu mali katika ndoa. Mwanahabari wetu faiza maganga anatupasha zaidi kuhusu wasifu wa jaji maraga.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Guns galore

Avatar
Story By Citizen
More by this author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *