Wasifu Wa Jaji Maraga

Tume ya huduma kwa majaji jsc hatimaye yamteua Jaji David Kenani Maraga kama jaji mkuu mteule ,tume hiyo inadai kwamba kulingana na waliotahiniwa maraga ndiye aliyeonyesha kwamba ana tajriba ya juu mbali na kuta uamuzi usioegemea upande wowote.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories