Wasifu wa Nyenze na siasa zake


Mareheme Francis Nyenze Atakumbukwa na wengi kwa msimamo wake mkali wa kisiasa alipomtetea kinara wake wa Wiper Kalonzo Musyoka ateuliwe kuwa mgombea wa Urais Katika muungano wa NASA. Aidha aliwahi kumuunga mkono Uhuru Kenyatta wakati wa kampeni za uchaguzi wa mwaka huu, hali iliyomtia katika matatizo. Sam Gituku anamwangazia Mwanasiasa Francis Nyenze na siasa zake.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Sam Gituku
More by this author