Wasifu wa Willian Ole Ntimama


Naam basi….tuangazie wasifa wake William Ole Ntimama…kama mwanasiasa atayekumbukwa kwa jinsi alivyotetea haki za jamii yake na wakati mwingine kuzua hisia kali kwamba alikuwa anachochea jamii yake dhidi ya zingine….cha mno, Ntimama alitaka sana kuhifadhiwa kwa mazingira hasa msitu wa mau. Anne Mawathe na taarifa zaidi.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: | TALES OF LAMU | Island grappling with an acute shortage of fresh water

Avatar
Story By Anne Mawathe
More by this author