Wasimamizi wapya wachukua uongozi wa hospitali ya St. Marys, Langata

Vurugu ilizuka mapema leo katika hospitali ya St.Mary’s hapa jijini baada ya watawa wanaomiliki hospitali hiyo kuwafurusha wafanyakazi pamoja na wasimamizi wa hospitali hiyo. Na kama anavyotupasha Andrine Kilemi, mzozo huo umekua ukiendelea kwa miaka saba sasa.

Tags:

Langata St. Mary's Hospital Assumption sisters of Nairobi

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories