Wataalamu wachunguza gesi ya Kajiado

Wataalamu wa gesi kutoka kampuni ya Geothermal, hii leo walikita kambi katika kaunti ya Kajiado kwa uchunguzi wa gesi iliyogundulika hiyo jana katika kisima cha maji.

Tags:

Kajiado gas

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories