Wataalamu watetea mradi wa maji wa Murang’a

Huku vuta nikuvute kuambatana na mradi wa maji utakaogharimu kima cha shilingi bilioni 8.6 katika kaunti ya Murang’a ikiendelea, wataalamu wanaoongoza ujenzi wa mradi huo hii leo wamejitokeza kujibu maswali yaliyokuwa yanazonga mradi huo.
Kulingana na wataalamu hao wanaojumuisha wahandisi na mashirika ya kiserikali yanayoendeleza ujenzi wa mradi huo, kiwango cha maji kitakachoelekezwa katika bwawa la maji la Ndakaini ili kuletwa Nairobi, hakitaathiri mkondo wa mito inayotumika na mamilioni ya Wakenya mabondeni.

Tags:

Athi Water Services Board (AWSB) mradi wa maji wa Murang'a

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories