Watabiri wa hali ya anga wasema mvua itazidi kushuhudiwa

Siku za hivi karibuni, sehemu tofauti humu nchini zimekuwa zikipokea mvua nyingi kwa mfululizo na kwengine ikakizua maafa. Kulingana na kitengo kinachoshughulika na maswala ya hali ya anga, mvua hii inatarajiwa kuendelea kushuhudiwa kwa wingi hadi katikati ya mwezi Disemba.

Tags:

Kenya Meteorological Department rains mvua

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories