Watahiniwa wa KCPE kufanyia mitihani hospitalini baada ya kujifungua


File image of a pregnant girl
File image of a pregnant girl

Huku mitihani ya kitaifa ya KCPE ikiingia siku ya pili hii Leo wanafunzi wawili wa shule mbili wamelazimika kufanya mitihani huo hospitalini.

Mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Elgeyo Marakwet Joseph Wamocho amesema wanafunzi hawa wa shule ya msingi ya Bugar na Yemit walijifungua usiku wa kuamkia Leo.

Mkurugenzi huyo ameongeza kuwa mwanafunzi wa shule ya msingi ya Bugar anaendelea kufanya mitihani huo katika katika hospitali ya rufaa mjini Iten, huku wa shule ya Yemit akifanya mitihani huo kwenye hospitali ya mishenari ya Kapsowar.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Nic Hailey: UK doing a lot to support Kenyan troops\' stay in Somalia

Citizen Reporter
Story By Citizen Reporter
More by this author