Watatu Waliombaka Liz Wahukumiwa

Washukiwa watatu waliohusika katika kumnajisi msichana wa miaka 16 katika eneo leo Busia na kisha kupewa adhabu ya kufyeka katika kituo cha polisi sasa wamehukumiwa kifungo cha miaka 22 kila mmoja na mahakama ya Busia. Mwanahabari wetu Gatete Njoroge na taarifa kamili.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories