Wateja Wazuiliwa Mateka Kwa Zaidi Ya Saa 16

Yaya kutoka nchini Uganda aliyegonga vichwa vya habari kwa kumdhulumu mtoto wa mwajiri wake amehukumiwa kifungo cha miaka 4 gerezani. Jolly Tumuhirwe alinaswa kwa kamera ya siri akionekana akimfanyia mtoto huyo unyama takriban mwezi mmoja uliopita. Tom Wanjala na taarifa hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories