Watoto 25 waliopotea kutoka Nyeri wapatikana

Watoto 25 walioripotiwa kupotea katika eneo la Kieni kaunti ya Nyeri walipatikana katika nyumba moja mtaani Kariobangi wakiwa wazima. Na kama anavyotuarifu ripota wetu Ben Kirui watoto hao ambao walikuwa wakisomea shule tofauti maeneo ya Nyeri Mashariki walitoweka kutoka nyumbani kwao wiki mbili zilizopita wasijulikane waliko.

Tags:

nyeri kieni watoto waliopotea

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories