Watoto 6 wafariki kutokana na Malaria huko Baringo


Watoto sita wameaga dunia katika kaunti ya Baringo kutokana na mlipuko wa ugojwa wa Malaria. Wazee wa jamii hiyo sasa wameambulia kufanya maombi ya kiasili kwani hospitali hazipeani huduma za afya kutokana na mgomo wa wauguzi.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Majanga Michael
More by this author