Watoto njiti 8,303 hufariki kila mwaka, utafiti waonyesha

Takribani watoto 8,303 ambao huzaliwa kabla ya kufikisha wiki 37 za ujauzito hufariki kila mwaka katika siku ishirini na nane baada ya kuzaliwa, kote nchini.
Hii ni kulingana na ripoti iliyotolewa na mashirika yanayojihusisha na masuala ya afya miongoni mwa kina mama wajawazito.
Leo ikiwa ni siku ya watoto wanaozaliwa kabla ya kufikisha umri wa kuzaliwa kote ulimwenguni, Kadzo Gunga alizungumza na baadhi ya kina mama ambao wamepitia hali kama hii na kutuandalia taarifa ifuatayo.

Tags:

pregnancy preterm babies watoto njiti

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories