Watu 10 wafariki sehemu mbalimbali nchini

Watu 10 wamefariki katika ajali tatu tofauti za barabarani. Watu 5 wamefariki katika ajali katika barabara ya Kenol kuelekea Sagana na wengine wanne kutoka familia moja wakifariki katika ajali nyingine katika eneo la Nyando, kaunti ya Kisumu. Wakati huo huo mgombea wa kiti cha uwakilishi wadi katika wadi ya Itibo, eneo bunge la Mugirango Kaskazini, kaunti ya Nyamira Kefa Nyangatare amefariki papo hapo baada ya gari lake kukosa mwelekeo na kubingiria katika barabara ya Ikonge kuelekea magwagwa.

Tags:

sagana kenol Makuyu ajali barabarani

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories