Watu 10 wapoteza maisha kaunti ya Lamu

Watu 10 wamepoteza maisha yao huku wengine 20 wakiokolewa wangali hai baada ya dau walilokuwa wakisafiria kuzama katika katika Bahari Hindi kaunti ya Lamu.

Abiria hao walikuwa wanasafiri kutoka kisiwa cha Lamu kuelekea kile cha Ndau kabla ya ajali hiyo kutokea.

Miili ya waliofariki ilipelekwa katika chumba cha kuhiofadhia maiti cha hospitali ya King Fahad pale ambapo familia zilifika kuchukua wapendwa wao.

Tags:

lamu boat

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories