Watu 10 wapoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa


Watu kumi wameaga dunia na wengine zaidi ya thelathini kupata majeraha kutokana na ajali mbaya ya barabarani asubuhi ya leo. Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Bunta Banta katika barabara ya Garissa kuja hapa Nairobi. Watoto watano ni miongoni mwa wale walioangamia kwenye ajali hiyo iliyohusisha basi la abiria na lori ambapo magari hayo yaligongana ana kwa ana

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channel



Video Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Makori Ongechi
More by this author