Watu 11 wajeruhiwa kwenye rabsha za kisiasa Mandera

Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto leo wameelekeza nyavu zao za kuvua kura katika kaunti za Wajir na Mandera, huku suitafahamu ikishuhudiwa kati ya wafuasi wa wagombea nyadhifa za ugavana. Kenyatta na Ruto wakilazimika kuwakumbatia wagombea hao pinzani, na kujiepusha kuwampigia debe wapeperushaji bendera wa Jubilee, kuzuia uhasama kati ya wafuasi wao.

Tags:

Uhuru kenyatta JUBILEE Mandera Ali Roba Hassan Nur

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories