Watu 14 waangamia kwenye ajali Meru

Watu kumi na nne wameripotiwa kufariki kwenye  ajali mbaya ya barabarani  eneo la Kiengu  katika barabara ya Maua na Garbatulla.  Ajali hiyo iliyotokea jana jioni inadaiwa kusababishwa na lori lilipokosa mwelekeo na kugonga magari matano ya kibinafsi

Tags:

meru maua ajali barabarani

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories