Watu 14 wapoteza maisha kwenye ajali ya barabarani

Watu kumi na wanne wamefariki baada ya matatu walilimokuwa wakisafiria kupoteza mwelekeo na kugonga mwamba. Ajali hiyo ilitokea mapema asubuhi ya leo katika eneo la Nyakach, Kisumu.

Tags:

Nyakach ajali ya barabarani Pap Onditi watu 14 wafariki

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories