

Mmiliki wa basi lililosababisha vifo vya watu ishirini katika eneo la Soysambu kaunti ya Nakuru amekamatwa. Hayo yanajiri huku dereva wa basi hilo akiwa angali anatafutwa na polisi wakati ambapo Rais Uhuru Kenyatta ameagiza uchunguzi kufanyika kubaini hasa kilichojiri usiku wa kuamkia leo.
Video Of The Day: | TALES OF LAMU | Island grappling with an acute shortage of fresh water