Watu 2 wafariki kutokana na njaa Turkana

Wakaazi wa kaunti ya Turkana wanaendelea kufinyika na hali ya ukame huku Rais Kenyatta akisema serikali imeongeza idadi ya watu ambao wanahitaji msaaada na kusema hakuna Mkenya yeyote anayepaswa kuteseka na hali hii. Rais alikuwa akizungumnza katika ikulu hapa jijini Nairobi alipopokea msaada wa chakula kutoka kwa muungano wa mataifa ya Imarati.

Tags:

turkana UAE Rais Uhuru Kenyatta njaa

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories