Watu 2 wauliwa Kisumu kwenye ghasia Kanyakwar

Wakazi wa kijiji cha Nyakwar kaunti ya Kisumu, wanaomboleza vifo vya watu wawili waliochomwa hadi kufa kufuatia mzozo wa na katika kaunti ya Mombasa, watu watatu wamejeruhiwa katika kisa kama hicho cha mzozo wa ardhi katika eneo la Nguu tatu Kisauni.

Tags:

Mombasa kisumu Kisauni mizozo ya mashamba Nguu Nyakwar

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories