Watu 4 akiwemo mwanamke mmoja wakamatwa kwa tuhuma za wizi

Watu wanne akiwemo mwanamke mmoja wanazuiliwa na maafisi polisi kwa tuhuma za wizi katika maeneo ya Kilimani na Kileleshwa. Watu hao ambao walipatikana na funguo mia moja na vifaa vya kuvunja milango wanashukiwa kutekeleza wizi katika maeneo mbalimbali ambapo wakati wa mchana ambapo  wenye nyumba hawapo . Maafisa wa polisi wanawataka wananchi kuweka mikakati za kiusalama wanaposafiri kusherekea sikukuu ya krismasi na mwaka mpya.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories