Watu 4 wafariki kwenye barabara ya Langata

Watu wanne wamepoteza maisha yao huku wengine sita wakijeruhiwa vibaya baada ya  gari walimokuwa wakisafiria kuanguka na kubingiria katika barabara ya Lang’ata hapa jijini nairobi.

 

Gari hilo la uchukuzi wa umma aina ya matatu lililokuwa likisafirisha abiria kuelekea jijini kutoka Ongata Rongai, liliripotiwa kuendeshwa kwa kasi mno kabla ya ajali hiyo kutukia.

 

Na kama anavyoarifu hassan mugambi haya yanajiri huku mamlaka ya uchukuzi na usalma wa barabarani (NTSA) ikionekana kushindwa na jukumu la kuthibiti jinamizi baranbarani. 

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories