Watu 5 wa familia moja waangamia kwenye mkasa wa moto Meru

Huzuni na majonzi imegubika kijiji kimoja eneo la Ngare Ndare katika eneo bunge la buuri kaunti ya Meru baada ya watu watano wa familia moja kuteketea kiwango cha kutotambulika.

Tags:

Meru Ngare Ndare Motoi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories