Watu 5 wafariki baada ya kuporomokewa na jumba Kisii

Watu watano miongoni mwao mtoto mwenye umri wa miaka miwili wamethibitishwa kuaga dunia baada ya jumba moja kuporomoka katika mtaa wa Mwembe mjini Kisii. Na kama anavyoripoti mwanahabari wetu Makori Ongechi, kuna hofu ya idadi ya walioangamia kuongezeka kwani wengi bado wamefunikwa chini ya vifusi vya jengo hilo.

Tags:

Kisii building collapse Mwembe

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories