Watu 5 wafariki baada ya pikipiki kugongana ana kwa ana na gari ndogo


Watu watano walipoteza maisha yao baada ya pikipiki waliyokuwa wakisafiria kugongana ana kwa ana na gari ndogo katika eneo la Sigalagala kaunti ya Kakamega.
Haya hanajiri huku magari 17 ya usafiri wa umma yalikamatwa na abiria wao kulazimika kukesha katika baridi kali usiku wa kuamkia leo baada ya magari hayo kupatikana yakivunja makataa ya safiri usiku.
Hii inafuatia oparesheni kali ya kuwanasa wanaovunja makataa hayo katika barabara kuu ya Nairobi kuelekea Nakuru

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Hassan Mugambi
More by this author