Watu 5 wauliwa na wavamizi mlima Elgon

Watu wanane wamefariki baada ya mashambulizi kuzuka katika eneo la Mlima Elgon na watu wanaosemekana kuhusishwa na kundi haramu la SLDF lililokuwa na mizizi yake katika eneo hilo. Aidha wakazi kuripoti kuwa wameingiwa na hofu kulingana na jinsi unyama huo ulivyotekelezwa usiku wa jana kuamkia leo.

Tags:

bungoma Mount Elgon Sabaot land defence forces SLDF

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories