Watu 6 wa familia moja wachomeka hadi kufa Kiminini


Biwi la simanzi limetanda katika kijiji cha Toll Station eneo bunge la Kiminini baada ya familia ya watu sita kuangamia kwenye moto ulioteketeza nyumba yao. Na kama anavyotuarifu Collins Shitiabayi, inadaiwa kuwa mwanaume mwenye boma alikusudia kuiangamiza familia yake akiwemo mkewe na watoto wao watano ila mmoja akaponea chupuchupu na kuondoka na majeraha mabaya.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: High amounts of Mercury, Copper found in contraband sugar

Story By Collins Shitiyabayi
More by this author