Watu 6 wafariki baada ya kula nyama ya ngamia

Watu sita wamefariki baada ya kula ya mzoga wa ngamia katika eneo la Tirioko huko Tiaty kaunti ya Baringo. Inadhaniwa kuwa ngamia huyo alikuwa na ugonjwa mbaya uliomuua.

Tags:

baringo Tiaty Nyama ya ngamia

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories