Watu 6 wahofiwa kuuawa na Al Shabaab huko Lamu


Hali ya taharuki yazidi kutanda katika eneo la Hindi kaunti ya Lamu. Hii ni baada ya shambulizi jingine kutokea na hofu ya takribani watu wanne kupoteza maisha yao.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Kadzo Gunga
More by this author