Watu 62 wamefariki kufikia sasa nchini Uganda

Zaidi ya watu 55 wameuawa wakiwemo maafisa 14 wa polisi katika eneo la kasese magharibi mwa taifa la  Uganda, kufuatia  mapigano yaliyojiri baada ya walinzi wa mfalme wa kitamaduni kukwaruzana na maafisa wa polisihaya yanajiri huku  mwanahabari wa shirika la  Ktn  Joy Doreen Bira akikamatwa na maafisa wa polisi katika eneo hilo , kwa madai ya kufika asikofaa kwenda wakati wa oparesheni.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories