Watu 7 waugua Kimeta baada ya kula ngombe mwenye ugonjwa huo

Watu saba wanaendelea kupata matibabu katika hospitali ya Longisa kaunti ya Bomet baada ya kuugua ugonjwa wa kimeta kwa kingereza anthrax baada ya kula nyama iliyokua na maradhi hayo.

Tags:

anthrax Kimeta

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories