Watu 8 wauawa na wengine 16 kujeruhiwa Isiolo

Maafisa wa polisi wanaendeleza operesheni ya kuwasaka waliowaua watu saba hapo jana huko Isiolo. Maafisa hao wameshika doria katika barabara ya Laisamis kulekea Isiolo.  Haya ni huku viongozi wa eneo hilo kuilaumu serikali kwa kukosa kudumisha usalama katika eneo hilo licha ya kuwa na habari kuhusu uwezekano wa visa vya wizi wa mifugo.

Tags:

isiolo wizi wa mifugo

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories