Watu 9 wa familia moja wapoteza maisha Kamukuyuywa, Bungoma

Familia moja inaomboleza vifo vya watu tisa wote kutoka katika familia hiyo walioangamia kwenye ajali iliyotokea usiku wa kuamika leo kwenye barabara ya Webuye kwenda Kitale. Idadi ya watu walioangamia kwenye mkasa huo aidha imeongezeka na kufikia kumi na tisa.

Tags:

salgaa Sanchangwan Kamakuyu

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories