Watu kadhaa wameuliwa katika maeneo kadhaa

Takriban watu tisa wameripotiwa kufariki baada ya kushuhudiwa machafuko ya baada ya marudio ya uchaguzi wa urais katika kaunti za homabay, kisumu, migori na bungoma huku wengine wakilaza wakijeruhiwa.

Tags:

Migori Homabay cyprian awiti

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories