Watu Tisa Wafariki Kufuatia Mvua Kubwa Narok

Watu Tisa Wafariki Kufuatia Mvua Kubwa Narok

Shughuli za kuwatafuta watu 9 ambao hadi sasa hawajapatikana bado zinaendelea mjini Narok baada ya mafuriko kusomba majengo mjini humo. Shughuli hizo zinaendelea huku zoezi la kusafisha mji huo zikingoa nanga likiongozwa na huduma ya vijana kwa taifa, nys. Na kama anavyotuarifu mwanahabari wetu Pheona Kengah ni kwamba hakuna miili mingine iliyopatikana.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories