Watu wanaodaiwa kuwa Al-Shabab wavamia Lamu

Watu watano wamepoteza maisha yao wakiwemo maafisa watatu wa polisi na wanamgambo wawili wa Al Shabaab baada ya mapigano makali yaliyozuka kati yao katika eneo la Pandanguo kaunti ya Lamu. Maafisa saba wamesalia na majeraha ya risasi huku mmoja akiwa bado hajulikani aliko, baada ya Al Shabaab kushambulia kituo cha polisi cha Pandanguo.

Tags:

lamu Al Shabaab Joseph Boinett PandaNguo Magaidi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories