Watu wanaodhaniwa kuwa al-Shabab wavamia kituo cha polisi

Maafisa wawili wa polisi hawajulikani waliko huku wengine wanne wakiuguza majeraha ya risasi baada ya wamamgamo wa al shabaab kuvamia kituo cha polisi cha hamey karibu na mpaka wa kenya na somalia.

 

Wanamgambo hao wanaodaiwa kutekeleza mashambulizi mawili chini ya dakika 45 katika kituo hicho, walivamia kasha la silaha na kutoweka na  risasi sawiya na gari aina ya landrocer ya kikosi cha polisi.

 

Na kama anavyoarifu hassan mugambi, afisa mmoja aliye katika hali mahututi amesafirishwa hadi jijini nairobi huku wenzake wakilazwa katika hospitali ya dadaab.

 

 

Tags:

AL-SHABAB

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories