Watu Wanaolipwa Kwa Kulia Matangani, Kisumu

Mtazamaji unajua kuwa kuna watu wanaolipwa kulia matangani? Watu waliojibandika jina  wataalamu wa kuomboleza? Basi ukistaajabu haya utayaona ya jiji la Kisumu ambako imefahamika kuwa kuna kikundi fulani cha watu wanaokodiwa kwa pesa  ili kazi yao iwe ni kulia na kuomboleza wakati wa kusafirisha maiti kutoka kwenye hifadhi ya maiti hadi atakapopewa mkono wa buriani.  Citizen Nipashe imegundua kuwa watu hao hupata kati ya shilingi mia mbili  hadi elfu 2 kwa wiki kutokana na kazi hii. Hebu basi tumpishe mwanahabari wetu Patrick Injendi atujuze zaidi.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories